Sasatel

Sasatel

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261
Wakuu,

Hivi hizi "unlimited bundles" za Sasatel ni unlimited kwa maana halisi au kwa maana ya wao kukupa MB fulani, kisha zikiisha hizo, unaongezea nyingine kwa gharama ya ziada? Ninauliza hivyo kwa sababu baadhi ya makampuni wanatangazia the former wakati wanamaanisha the latter hapo juu.
 
Mkuu ni unlimited kweli lakini hiyo speed yao utatamani kulia.
Nisawa na kupewa pipa la maji kisha upewe kijiko cha chai ukitumie kuyachota.
Bora kununua gb
 
Asante sana, Mkuu!
 
Mkuu ni unlimited kweli lakini hiyo speed yao utatamani kulia.
Nisawa na kupewa pipa la maji kisha upewe kijiko cha chai ukitumie kuyachota.
Bora kununua gb
Wapendwa wana JF, hizi unlimited internet budles kutoka Sasatel ni unlimited ya ukweli kwa kasi ya 153kbps. Mimi natumia hizi bundles za Sasatel kuanzia unlimited internet ya siku moja (masaa 24) kwa Tsh 500, unlimited internet ya wiki moja kwa Tsh 8,000 na unlimited internet ya mwezi mmoja kwa Tsh 30,000. Tena katika mwezi huu wa February, wanatoa unlimited internet ya bure kwa wateja wote wapya. Ijaribu ili ujionee na ufaidi!
 
hyo sio kwa wenye usb modem
 
hyo sio kwa wenye usb modem

Mkuu, kuna mtu naye ameniambia km alivyoeleza Natasha isipokuwa tofauti ipo ktk gharama ya bundle ya 24 hrs. Nakumbuka ni zaidi ya 500/-. Labda Natasha atuambie aina ya modem atumiayo.
 
Jamani niko Dodoma. Nina mpango wa kununua SASATEL, Je! inaweza kufanya kazi huko? Naomba uzoefu wenu tafadhali!!!
 
Mara ya mwisho nilipoiona cavarage yao ilikuwa ni dar tena haifiki hata mbezi mwisho
 
Wapendwa wana JF, hizi unlimited internet budles kutoka Sasatel ni unlimited ya ukweli kwa kasi ya 153kbps. Mimi natumia hizi bundles za Sasatel kuanzia unlimited internet ya siku moja (masaa 24) kwa Tsh 500, unlimited internet ya wiki moja kwa Tsh 8,000 na unlimited internet ya mwezi mmoja kwa Tsh 30,000. Tena katika mwezi huu wa February, wanatoa unlimited internet ya bure kwa wateja wote wapya. Ijaribu ili ujionee na ufaidi!
For browsing or Downloading
 
internet ni airtel tu! Mchana kweupe najidownlodia file la 22 MB kwa dakika zisizopungua 4!! Yaan mpka raha buku 2 shiva yako 2!!
 
hapo kwenye rangi nyekundu umechemsha au....... dakika zisizopungua 4 maana yake inaweza kuwa dakika 100 au hata siku nzima.
 
Back
Top Bottom