wanajamii habarini ya majukum? naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko powa kabisa na tuko tayari kuachia vitanda na kujiandaa kwenda kwenye majukum ya kujenga taifa ambalo halijengeki, ndugu...
HELLO GUYS!! information for dearest students, or anyone who aspires to new challenges in life.......
I AM RELATIVELY NEW AT THIS FORUM AND THE MAIN REASON I AM HERE IS TO ENLIGHT SOME PEOPLE...
jamani napa tatizo nkifungua baadhi ya post naletewa msg hii wakati nipo registered :-
LOOOK, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:
Your...
JF,
nina photocopier yangu kubwa imageRUNNER ADV 6055, sasa ine waka kisha nikibonhyeza button ya copy (kwenye lcd screen ) inanipa error code: E000197-0006, nay idea what does this mean...
Microsoft must pay copyright cash
The US Supreme Court has ruled that Microsoft must pay a 290 million dollar (£178m) judgment awarded to a small Canadian software company for infringing on one...
Salaam ama baada ya salaam wadau wote wa jf, leo nina tatizo moja ambalo nahitaji sana msaada wenu, ni kwamba nimefanikiwa kudownload some of the iphone apps kwenye itune, sasa tatizo linakuja...
Last week's security breach at Citibank was just the latest in a string of incidents that have rattled consumers: Sony, Lockheed Martin, and iTunes are also among recent high-profile targets...
Katika hali iliyonistua, maeneo ya soko la Segerea kulikuwa na mkandarasi anayeweka "headwalls" kwenye "culvert" jipya linalojengwa eneo hilo.
Jambo la kushangaza ni kuwa, zege ilikuwa inamiminwa...
Wana JF nisaidieni. Natafuta a serious Internet Provider ambaye atani provide internet as a Proxy Server. Nataka aniuzie Bandwidths kwa ajili ya computer zangu 10. Kununua bundles ni ghali wala...
wakuu naomba niombe ushauri kidogo, kwa tanzania hii ni modem gani (shirika lake na model yake) nitakayoweza kubadili laini zote za CDMA kwa mfano zantel , ttcl na sasatel.?
achia mbali...
Yeah!! sijakosea kuandika ni kweli kabisa kwa sasa Technology ipo mbali sana zaidi ya tunavyofikiria watanzania na madeni ya Dowance na Tatizo la TANESCO!
OK...
Kwa watumiaji wa UBUNTU sasa...
habari za mida hii wanajf
naomba kuuliza swali......................................asante
hivi modem ya zantel naweza kuichakachua na kutumia line ya tigo na kusurf bila ubishi au kutakuwa na...
Habarini wanajamvi.
Naombeni tubadilishane mawazo ama kusaidiana inapobidi,.. Ni vp ninaweza ku unlock hii sim ya blackberry, previous network provider ilikuwa ni Bell Mobility U.S... nimejaribu...
Nataka Kujua ile Blog, Website ya Ikulu Mawasiliano, kwa nini hawaweki habari yoyote mpya?
Mara ya mwisho kupost habari ilikuwa Friday, March 25, 2011, toka hapo inaonekana wameisusa
Wenye Data...
Wanajamvi watu wanakuna vichwa sisi huku tuko busy na politicki.. waht can we do ? Anyway hatuwezi hata kushindwa kuwa mareporter wa habari nzuri za kiteknolojia. teh teh teh
Haya jamaa...