Msaada plz.

Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
767
1,213
Nahitaji driver download link ya web cam,Dell inspiron 4010,yeyote anayeweza kusaidia.
 
Nahitaji driver download link ya web cam,Dell inspiron 4010,yeyote anayeweza kusaidia.

Dell insipirion 4010 ni laptop. Ukihitaji driver inabidi specific utaje model ya hiyo device /web cam iliyomo kwenye hiyo dell. yaani nenda kweye device manager

Vile vile ukihitaji diver inabidi uwe specifi unataka a OS gani XP, Ubuntu, ect.

Haya yte kitu cha kwanza nenda kwenye tovuti ya manufacturer ingiza model yako cheki kama ipo Welcome to Home User Support

kama manufacturer hawana nenda kwenye tovuti ya watengezaji wa hiyo webcam.

Otheriwise ukikosa mwisho ni ku google na kwenda tovuti kama CNET. . One of my google nimekutana na majibu ya hawa wataalam kwenye yahoo answers Where can I find the Dell Inspiron N4010 integrated webcam driver? - Yahoo! Answers

Goodluck
 
..thax mkuu ngoja nijaribu kucheki.

Powa lakini hujasema unatumia OS gani unaweza jaribu kudowload na kunstall hii
Dell_Webcam_Central_V2.00.39

https://rs907tl2.rapidshare.com/#!d...zip|144930|R~8D8E57ED796BA8A42C8D81224767EEE4


Ikigoma hiyo jaribu kudownlaod na kuisntall hizi( Soma instruction za kusintaal kwenye hiyo link)
Drivers and Downloads


Pia fanyia kazi mapendekez yote aliyoandika huyo jamaa anaitwa DELL-Telson A kwenye hii link Dell Inspiron N4010 web cam driver - Laptop General Hardware Forum - Laptop - Dell Community
 
Back
Top Bottom