Hongera airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by anania, Jun 2, 2011.

 1. anania

  anania Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa upande wangu nimeamua kuwapongea Airtel kwa kuifanyia marekebisho mitambo yao.Kwani nilikuwa sipati kabisa UMTS ilikuwa EDGE tu.Siku za nyuma nikichagua UMTS ilikuwa haikamati mawimbi ila kuanzia jana mambo swafi sana.Nasomeka pande za Kigogo
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuichakachua modem ya Tigo sasa natumia Airtel napata HSDPA,kwa muda mfupi niliotumia airtel mambo yamekuwa bambam sijui kwa baadaye kwani ''mgema akisifiwa tembo hulitia maji'',mimi naona kwa sasa Airtel wangepunguza bei za modem zao,pia Airtel hawana mpinzani kwa watumiaji wa Blackberry BIS
   
 3. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I rate them ZERO, absolutely zero b`se UMTS yao ni very poor kwa huku Mwanza na bado napata EDGE ambayo siwezi hata ku-update antivirus kwa jinsi ilivyo slow yani bora hata GPRS ya tiGo na siyo hii EDGE ya Airtel inabidi waiangalie kwa jicho lingine tena na kufanya marekebisho ya haraka sana. I`m so disappointed na hawa Airtel kwa kweli.
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mitanado yote ina nguvu DAR tu. kote kulobaki ni mashaka tu.....
   
 5. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 581
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa wa mitandao cjui wana matatizo gani. Mf. Jiji la mwanza hakuna mtandao wenye nguvu tofauti na vodacom, na hao nao ni aeneo ya mjini 2
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu mbna airtel inakamua vibaya mno?tigo ndo hamna 3g r.city.
   
Loading...