Nahitaji kuunga HTC HERM200 na PC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kuunga HTC HERM200 na PC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by poposindege, May 27, 2011.

 1. poposindege

  poposindege JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 367
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  wadau wa jukwaa habari
  Nimepata simu ya HTC herm200 na nahitaji kuiunganisha na computer yangu lakini nikiichomeka na usb cable haionekani.Lakini nimesikia kuna software lazima uinstall kwanza kwenye pc halafu ndo simu itaonekana.Kama ni hivyo ni software gani inahitajika na nawezaje kuipata.Na vile vile button za nje hazifanyi kazi sijajua ni setting au ni mbovu button zake.Naomba msaada wenu wakuu.Na kama kuna ziada si vibaya mkaniongezea kuhusu hii simu
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Mathias

  Mathias Senior Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  The best way google, au check e-how.com
  alternatively, nenda kwenye site ya htc na download pc-htc software
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inatumia OS gani? Kama ni android, download 'remote desktop', hii itakuwezesha ku connect na computer kwa kutumia mozilla browser, internet.
   
 4. poposindege

  poposindege JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 367
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  sijui ni os gani.waweza kunielekeza namna ya kuijua
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inatumia Windows Moble 5
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  MKuu poposindege acha kuniangusha bana dont you know how to google? hv you try to google "how to connect htc herm200 to pc"
  Unayo simu na model yake unashindwa ku google kujua os yake? I told u to make google your best friend.

  Anyway simu yako ina os windows mobile 5 labda kama imefanyiwa upgrade to windows 6 or 7, ukitaka kujua just google
  Ili ku connect na pc ni muhimu kujua unatumia os gani katika pc yako,
  unaweza kuiconnect ktk windows xp kushuka chini kwa kudownload na kuinstall katika pc yako software inaitwa ActiveSync 4.5 dMicrosoft ActiveSync
  Kama unatumia windows vista na windows 7 unatakiwa utumie software inaitwa Mobile Device Center 6.1 Microsoft Windows Mobile Device Center

  More info on ActiveSync Download details: ActiveSync 4.5
  on Mobile Device Center Download details: Microsoft Windows Mobile Device Center 6.1 for Windows Vista (32-bit)

  Kuhusu hizo keys jaribu kugoogle ukishindwa kama hujainstall vitu vya maana nakushauri ifanyie hard reset utajua kama ni mbovu au la. how to hard reset google it
   
 7. daudilouis

  daudilouis Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda kwenye site ya htc utakuta type zote za simu za htc,click kwenye type yako ya simu and utapata details zote on how to operate and connect hiyo simu yako.
   
Loading...