Digital Quran IQ634 ENMAC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Digital Quran IQ634 ENMAC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Fatma Bawazir, May 31, 2011.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wadau naomba msaada nina hii kitu ilipata virus nika format sasa natafuta software yake nimejaribu kuangalia ktk website yao hakuna software kuna yoyote anaejua jinsi ya kupata hii software na jinsi ya kuinstall ? natanguliza shukran

  resize.jpg
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hujaspecify vzuri,A u looking for software ama fimware(like Os)?je kwa sasa hv hiyo device iko vp hali yake?like inawaka ama lah,or inawaka lakini haitoi sound..etc
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35


  hii divice inawaka inapowaka ina andika data not found ilipopata virus nili format sasa sijajua tatizo ni fimware au software
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ohky.did u try kuweka tena qur an?ama since ulivyonunua zilikuwepo tayari?je ulikuwa unaweza ku add new ones ama not?did u try to connect it in a pc?
   
 5. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tokea nilivyo nunua zilikuwepo niki conect na pc in detect naona storage empty
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umeiformat kwa njia gani? ume connect na pc ndio umeformat au via device itself? lazima tujue inatumia operating system gani ili tuweze kusema kitu.
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jaribu kupakia mafile ya quran upya.
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  baada ya kuona imegoma kufanya kazi nika conect na pc nika scan virus nikakuta kuna virus nika clean bado ikagoma ndio nikaformat kwa kujua nikiweka ma file mengine ya qur-an itafanya kazi kumbe sivyo kila nikiwasha inasema data not found inaonekana kuna software au operating system inayo hitajika ambayo ina kila kitu ndani
   
 9. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  Daah! Umeadimika sana Fatma ukisolve tatizo naomba tuwasiliane sijawahi tumia hiyo kitu umenitamanisha sana.
   
Loading...