jamani kumbe raha ya tigo ni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani kumbe raha ya tigo ni...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by white wizard, Jun 3, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona hivyo jamaani!na sisi tunataka utamu huo.
   
Loading...