Tatizo ni modem au internet zetu.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ni modem au internet zetu.......?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paje, Jun 3, 2011.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani tujue kuwa kwa tanzania ukitoka tu nje ya DAR basi hakuna spidi ya maana ya internet. zote zinakuwa ni EDGE tu , sio 3G tena. labda kwa zantel nao wao hawapo sehemu nyingi kwa sasa.
  mie nilinunua modem ya tigo model ya huawei E153. na nikaipa unlock coding yake. wakati nipo DAR nilikuwa natumia laini ya tigo na sometimes airtel katika modem ya tigo. na zote mbili zinakuja kwa spidi ya kutisha ya 3G hadi 2Mpbs.
  kwa kipindi hiki nipo Zanzibar, na tayari nimeshajaribu laini zote nne. Voda, tigo, zantel na airtel. bila ya kujiunga na packet na kwa kujiunga na internet packet. believe me zote zinatoa spidi mbovu kabisa , na muda mwingi huwa zinakata japo kuwa nipo mjini na ni karibu sana na mnara ambao umesheheni kila aina ya mtandao (wanakodishana minara).
  kwenye dashboard inaonekana meno yote ma 5 na sometimez ma 4 yamejaa lakini internet inakatika na kurudi vibaya sana kiasi ya kushindwa hata kuperuz jamii forum.
  PIA inaonesha ni EDGE tu sio Hsdpa.
  cha ajabu na cha kusikitisha ni kuwa nikiunganisha simu yangu kwa kutumia waya na ku act kama modem kwenye laptop internet inakuja nzuri tu bila ya kukata ijapokuwa spidi ni 10kB/s lakini internet ina browzika vyema. sasa ndio tuseme hii modem ya simu ya mkononi ndio bora kuliko ya tigo. ?
  nimejaribu kwenye tools options kuweka settings mbali mbali kama vile GSM only , prefered , wcdma only, prefered lakini zote hazikusaidi kitu.
  Pia nimejaribu ile RAS na NDIS zote hazikuzaa matunda.
  na nipo na quesiton mark.
  please someone help. nataka kutumia modem na sio simu kwa kubrowse internet...... je niifanye settings gani hiii modem ya tigo angalau isikate internet.....?
   
 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo Dodoma na natumia Vodafone modem zaidi ya mwezi sasa, napata 3G kila nitumiapo
   
 3. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwanza,Dar,Arusha,Dodoma, ndo mikoa nayoijua ina coverage za 3G Kwa voda na airtel.
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zanzibar hakuna 3G, lakini kwa nini internet ya kuunganisha mobile phone na komputa iwe na nguvu kuliko ile ya modem ya TIGO?
  ANY TWEAK?
  hili ndio suala langu
   
Loading...