How to make window Vista Genuine

How to make window Vista Genuine

luvcyna

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
1,848
Reaction score
1,940
wakuu wajamvi, Nawasalimuni nyote.
leo Naomba mchango wenu katika hili,
ukiwa na window vista katika computer yako isiyo genuine,... je kuna namna yeyote naweza kuifanya ikawa genuine??
msaada pliz
 
Download software inaitwa VIsta 7 Slic Loader ,n then install kwenye mashine yako itakupa option ya kureboot imetoka
 
Na je kama unataka kuifanya window 7 kuwa genuine?
 
Back
Top Bottom