Magari Ya Umeme:ISRAEL YAANZA KUTUMIKA

Kuna vituo maalum vya kuchrge au hata Mains ya nyumbani unachaji kama simu?
 
kuna vituo maalum
Shai Agassi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
Shai Agassi Born1968
Ramat-Gan, Israel [1]Residence San Francisco, USANationalityIsraeli EducationTechnion, BA, 1990OccupationFounder and CEO of Better PlaceSpouseMarriedChildren2 [2]WebsiteBetterplace.comShai Agassi (Hebrew: שי אגסי‎, born 1968) is an Israeli entrepreneur. He is the founder and CEO of Better Place, which has developed a model and infrastructure for employing electric cars as an alternative to fossil fuel technology. Agassi was President of the Products and Technology Group (PTG) at SAP AG. In 2003, at the age of 36, Agassi was named one of the top 20 'Global Influentials for 2003' by CNN-Time magazine.[citation needed] In 2009, Agassi was included in TIME magazine's 100 most influential people list.[1] In 2010, Foreign Policy magazine included Agassi on its annual list of the 100 most influential global thinkers. [2]
 
wakati hapa kwetu mijitu ya 1968 inawaza maandamano na uzinduzi wa single pamoja na matamasha lukuki ya kuwatapeli wavivu wa kufikiri wenzao.... mtu kutunga nyimbo na kuzoa tuzo tano tunamwita ana kipaji.....!
KIPAJI?????
 
Hii technolojia ni nzuri sana, itasaidia na petrol kushuka bei watu wakiamua kuhamia kwenye magari ya umeme
 
wakati hapa kwetu mijitu ya 1968 inawaza maandamano na uzinduzi wa single pamoja na matamasha lukuki ya kuwatapeli wavivu wa kufikiri wenzao.... mtu kutunga nyimbo na kuzoa tuzo tano tunamwita ana kipaji.....!
KIPAJI?????
:thinking:
 
  • Gharama ya magari yanayotumia umeme bei yake ni mrara tatu au nne ya magari yanayotumie fuel. kwa Tanzania ni serikali tu na waneemeka wachache sana wanaweza kuyamudu.

  • Waafrika na watanzania tunapenda kuonekana tunaendesha migari mikubwa. Kwa kasumba ya viongozi wetu Sidhani kama kuna waziri yuko tayari kutumia gari linalotumia umeme lenye sura kama ya bito.
Kwetu wengi kuwa ndani ya gari kama VX ndo status. Sasa problem inakuja magari mengi ya umeme sababu ya energy efficiency ni madogo madogo sana. Sasa kama serikali yenyewe yeye uwezo wa kunnua magari mapya inaona hata waziri kutumia vitara ni kosa ndo ije kuwa gari la kutimia umeme linalofananaa na bito.

Hizi tutabaki tunasoma tu maana viongozi wetu ni waongeaji wazuri. Tooo much poltics hawaonyeshi mfano.......
 
na tuombe wayatawanye yafike kwetu.... TANESCO watatoa ofa maalumu kwa wenye magari haya ...mfano mzuri huku kwetu ni kwenye mahoteli mbalimbali kuna CLUB CAR (vinaonekana sana kwenye viwanja vya michezo)ambazo zinachajiwa kwenye umeme wa kawaida tu
 
  • Gharama ya magari yanayotumia umeme bei yake ni mrara tatu au nne ya magari yanayotumie fuel. kwa Tanzania ni serikali tu na waneemaa wachache sana wanaweza kuyamudu.

  • Waafrika na watanzania tunapenda kuonekana tunaendesha migari mikubw. sidhani kama kuna waziri yuko tayari kutumia gari linalotumia umeme lenye sura kama ya bito.
Kwetu wengi kuwa ndani ya gari kama VX ndo status. Sasa problem inakuja magari mengi ya umeme sababu ya energy efficiency ni madogo madogo sana. Sasa kama serikali yenyewe yeye uwezo wa kunnua magari mapya inaona hata waziri kutumia vitara ni kosa ndo ije kuwa gari la kutimia uememe linalofananaa na bito.

Bado wengi wanayahofia magari haya labda siku za usoni wanunuaji wa magari haya itaongezeka na labda feedback toka kwa watumiaji wake kama itakuwa ni nzuri zaidi ukilinganisha na magari yatumiayo petroli basi soko lake litaongezeka kwa kasi sana, lakini kwa sasa wengi wanayakwepa.
 
Mkuu Ulaya tayari mbona yanasambaa kwa kasi sana. Kikwazo kikubwa ni bei yake na Recharging center. Nimesoma juzi juzi kwenye BBC serikali ya UK ina mradi wa kuongeza vituo vya kurecharge haya magari. Kama sikosei kwa gari ndogo charge inaisha kila baada ya 100 Km hivi.

Pia nimesoma kuna issue ya usalama sababu magari haya hayana kelele inabidi EU wakae wakubaliane watengezejai wawewek sauti gani kwa ajili ya safety. So inabidi wapewe standard ni aina gani ya kele na kwa kiwango gani gari litoe.

Na kwa kigezo cha ubovu wa barabara ambacho kinahalalisha ununuaji wa VX basi kinaondoa uwezekano wa hata wizara ya mazigira kumiliki gari la umeme.

sioni kiongozi yeyeote mwenye vision wa kusema wajaribu kununua hili gari japo kwa matumizi ya waziri wa wizara moja hasa ya mazingira kama
majaribio

Nchini kwetu kufika na kutumia nafikiri ni miaka 100 ijayo ndio tumudu

Serikali ina uwezo wa kumudu gaharama yake. Kama wanaweza kununua VX mpya hawashidnwi kununua vigari hivi vya umeme . Tatizo wameshazoea VX nani akubali kuitumia gari kama bito. Tatizo hatuna watu wenye mawazo mapya wanaendeleza waliyoyakuta
 
Mbona hii technology ipo muda sasa, Marekani, Uingereza, Japan na kwengineko; magari ya umeme au mchanganyiko yanayoitwa HYBRID yameanza kufanya kazi kipindi kirefu tu. Tatizo kubwa kwa sasa haya magari yanatembea zaidi mijini kwa vile sehemu za kuchajia hazijaenea sehemu mbali mbali, tofauti na mafuta utabeba "dumu" kwenye buti kama hakuna pump njiani lakini umeme ni lazima kuwepo na vituo vya kuchajia. Hata hivyo nchi nyingi za dunia ya kwanza wapo mbioni kueneza hivyo vituo vya kuchajia na si muda mrefu mitumba ya petroli na dizeli itaanza kutupiwa third world akina Tz kama ilivyo ada.
 
Mkuu Ulaya tayari mbona yanasambaa kwa kasi sana. Kikwazo kikubwa ni bei yake na Recharging center. Nimesoma juzi juzi kwenye BBC serikali ya UK ina mradi wa kuongeza vituo vya kurecharge haya magari. Kama sikosei kwa gari ndogo charge inaisha kila baada ya 100 Km hivi.

Pia nimesoma kuna issue ya usalama sababu magari haya hayana kelele inabidi EU wakae wakubaliane watengezejai wawewek sauti gani kwa ajili ya safety. So inabidi wapewe standard ni aina gani ya kele na kwa kiwango gani gari litoe.

Na kwa kigezo cha ubovu wa barabara ambacho kinahalalisha ununuaji wa VX basi kinaondoa uwezekano wa hata wizara ya mazigira kumiliki gari la umeme.

sioni kiongozi yeyeote mwenye vision wa kusema wajaribu kununua hili gari japo kwa matumizi ya waziri wa wizara moja hasa ya mazingira kama majaribio

Marafiki zangu watatu (wamenunua magari mapya hivi karibuni) walifanya utafiti wa magari haya kabla ya kuamua ama wanunue ya kutumia petroli au ya umeme na wote waliamua kununua ya petroli kwa kudai kwamba walikosa info zilizojitosheleza hivyo wakaamua kuyakwepa. Kama nilivyosema yanaingia taratibu ukilinganisha na ilivyotegemewa na hii bei ya petroli ilivyo juu labda wateja wengi wanaweza kuamua kuyanunua kwa wingi. Kikubwa ni bei ambayo unakuta unalipa hata $5,000 au zaidi kwa gari la umeme.
 
wakati hapa kwetu mijitu ya 1968 inawaza maandamano na uzinduzi wa single pamoja na matamasha lukuki ya kuwatapeli wavivu wa kufikiri wenzao.... mtu kutunga nyimbo na kuzoa tuzo tano tunamwita ana kipaji.....!
KIPAJI?????

Mkuu we unakuwa mnazi wa siasa zaidi. Sasa maandamo na gari ya umeme wapi nna wapi.
Kama kulaumu laumu walioo madarakani ambayo ni serikali
Mfano

  • Kuna wazira ya mazingira cheki gari inazotumia haziendani na wizara inayotaiwa kutetea low carbon emmssion
Kuandamana au kutonadama hakuwezi kubadlisha au kupunguza kitu as far technological develpment is concerned. Tatizo hatuna viongozi wenye dira . Anajiita waziri au kaitu mkuu wa mazingira anatumia VX kutoka masaki kwenda Posta. ????? !!!!!
 
ASANTE KWA KUTONIELEWA.....! Niliposema watu wa 1968 wapo bize na maandamano,shughuli za muziki,kuzindua singo au albamu.....nilimaanisha kuwa MU-ISRAEL ANAGUNDUA GARI LA UMEME akiwa na umri huo huo sisi TUNAGUNDUA "KIDUKU" staili za burudani mbalimbali
Kama na hapa sijaeleweka niko tayari kuelewesha
 
mchezo wa kiduku, kunyoa nywele kwa kuacha kama jogoo, kukatika kiuno mithili ya kenge n.k HAYO NDIYO MA-UGUNDUZI YETU......wakati wenzetu of the same age...WAGUNDUZI NI WENGI KULIKO WABURUDISHAJI, SISI WABURUDISHAJI NI WENGI KULIKO WAGUNDUZI.....!
 
Mkuu unaongea facts tupu!! Hata kama kuna nchi zingine zilizowahi kuwa na haya magari lakini hoja yako ni ya msingi. Nipo katika nchi moja napanda basi kila siku zinazotumia umeme!
Sure, mkuu kwetu sisi wavivu ni wengi kuliko wapiga kazi! na bado waburudishaji ni wengi kweli kuliko wenye kuleta maendeleo ya nchi. Sijui ndo umarekani unatuharibu! we have the brain and we know what is bad and what is good but we don't wanna follow the right decision.
 
Back
Top Bottom