Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wataalam wa haya mambo naomba mtujuze,which is better kati ya ipad na playbook.Hii playbook imekuwa launched na blackberry na wanajitangaza kwamba ni bora kuliko ipad.Mnasemaje wataalam...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
LAPTOP YANGU IMEPATA MSHKERI. NIKIIZIMA INAZMIKA VIZURI lakini NIKIIWASHA HAIWAKI MPAKA NIWEKE OS CD NDO INABOOT. HAPO NDUGU WADAU TATIZO NI NINI & NINI UFUMBUZI WAKE
0 Reactions
2 Replies
992 Views
wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kamanda Mwema Polisi na viongozi husika kwa karne hii ya sayasni na teknolojia Polisi jamii sio kuhishia kutoa number za ma RPC tu. Tunataka tupate umber za wakuu wa vituo tulivyo karibu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada wenu jinsi ya ku hack modem ya mtu using Angry IP scanner?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Wandugu poleni na mikikimikiki ya mchana ya kujipatia mkate wa siku.Naombeni mnisaidie ni jinsi gani naweza kununua software mbalimbali kutoka kwenye NOKIA OVI STORE? Tafadhali naombeni msaada wenu.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
asalaam wana jamii. nilikua natafuta nano station device je kuna mtu yeyote anuza?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
WANA JF, HABARI. Ninamiliki modem ya vodafone zte3570. na imichakachuliwa. LAKINI CHA AJABU NI KWAMBA... 1. Nikiweka laini ya mtandao mwingine inawasha taa ya kijani(badala ya blue) 2.Niki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.engadget.com/2011/06/23/nokias-first-windows-phone-images-and-video/ <a href="http://www.engadget.com/2011/06/23/nokias-first-windows-phone-images-and-video/">
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani sikufahamu hii nikajikuta nimegundua bila kujua,inawezekana we unafahamu ila kwangu ni mara ya kwanza kuona,naomba jaribu kwenye computer yako,fungua browser ya google chrome,halafu shift...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalam wa magari naomba kueleweshwa neno hili lina maana gani? USER FULL OPTION. Asanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo.
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona. Wamarekani wanakaribia kupitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Twitter users and the courts go to war over footballer's injunction Social networks accused of making 'an ass of the law' as injunction spirals into online battle over freedom of...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hi guys, I'm working with a certain company offering outsource services for projects requiring programming skills. Any one interested and want to know more about this, please drop me an email /...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wadau nisaidieni, nahitaji car security system zile ambazo kuna hidden switch kama mtu hajui ilipo hawezi kuwasha gari pamoja na alarm yake, zinapatikana wapi hapa Dar na kwa sh ngapi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba msaada kujua ubora wa hizi laptop zinazouzwa kwenye vodashops hapa nchini, nina mpango wa kununua lakini mimi si mtaalamu wa kujua ubora wa vifaa hivi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
10.Alois Irlmaier Irlmaier was a simple German man who, in the 1950s, made predictions of a third world war. This is a small sampling of what he claimed the third world war would look like...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wana technology,ni hivi nataka ku start biashara za mitandaoni,namaanisha nataka kuanza blogs zangu zitakazonipa mahela,lakini bado sijajua ni kompyuta gani latest(pentium)nzuri na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu, naomba mwenye software ya ku-convert DVD to MP3 anisaidie. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naombeni key za karspersky..pls. 2012..or any..ya kwangu meisha leo
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Back
Top Bottom