Kutengeneza Almasi, From Your Loved Ones Remains.!!!! (Diamonds are Forever..) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutengeneza Almasi, From Your Loved Ones Remains.!!!! (Diamonds are Forever..)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by VoiceOfReason, Jul 6, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Tunajua kwamba almasi ni carbon; na inatengenezwa kutokana na High Pressure and Temperature over a long time. Na hivyo ndivyo natural diamond inavyotengenezeka...,

  Hiyo basi mtu yeyote anaweza kutengeneza almasi kwa kutumia Pressure kubwa sana na Joto la kutosha kwa muda wa kutosha...... Najua utasema tawezaji kupata hiyo Pressure na hilo Joto.... Dont Worry kuna kampuni nyingi zinaweza zikakusaidia kutengeza Almasi kwa kutumia mabaki ya mpendwa wako kama kumbukumbu (even death wont do you part...)

  Unachotakiwa kuwapatia ni :-
  • kuanzia 2,490 usd
  • majivu ya mpendwa wako (sio lazima mtu hata mbwa wako au paka)
  • miezi tisa ili kukamilisha kazi
  Therefore siku ukimuona mtu kavaa pete ya almasi nzuri usishangae akikwambia kwamba imetokana na Babu yake mpendwa

  Diamonds are Forever

  Wanna Try It.... jaribu hapa LifeGem - Memorial Diamonds created from a lock of hair or cremated remains / ashes / cremation
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,000
  Trophy Points: 280
  Kisima hiki cha maarifa kitatutia uchizi safari hii
   
 3. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  loh!!!
   
 4. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  hii sasa ni mpya
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mh! hawa mm siwaaminiamini, last time niliona utengezaji wa artificial diamonds; it is expensive than the natural one, na unahitaji kuwa na "mbegu"-a tiny diamond that is put under high pressure, na baada ya muda inakuwa kubwa.
  1282072509_18381271_1-Pictures-of--man-made-Lab-Grown-Synthetic-diamond-s-1282072509.jpg
  1282072509_18381271_2-man-made-Lab-Grown-Synthetic-diamond-s-Vancouver-1282072509.jpg
  1282072509_18381271_3-man-made-Lab-Grown-Synthetic-diamond-s-Everything-Else-1282072509.jpg
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo unayosema ni process moja kuna process mbili angalia hapo chini:-

   
Loading...