Msaada -Zantel Modem to Vodacom

Msaada -Zantel Modem to Vodacom

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Naomba Msaada nataka kutumia huduma ya iNTERENERT ya Vodacom kupitia modem ya ZANTEL nifanyeje

mbona sioni IMEI yake ila SN yake tu

Pia kuna mdau mmoja aliwahi kuandika humu kuwa Modem ya Zantel inaweza kutumia line ya Vodacom pia bila kuchakachua

taratibu zikoje,nisaidie mwenzenu
 
Zantel modem zao hazina line pia ni mfumo wa CDMA wakati Vodacom inatumia mfumo wa GSM wa simcard...labda ujaribu kwa TTCL ama Sasatel
 
hiyo haiwezekani. wanatumia technology tofauti. hazioani wala hazikubaliani
 
Back
Top Bottom