LIVE TV FROM USA, SPAIN, ITALY,GERMANY, etc FREE!

LIVE TV FROM USA, SPAIN, ITALY,GERMANY, etc FREE!

Mbona KIS imeishughulikia? kumbe ni kichina? I mean kirusi?
 
wakuu ni kweli virus.. naogopa ku click
 
Hahaha! Mnanifurahisha wakuu! Hivi kweli nitawawekea virusi humu? Hata mimi nashangaa Amoeba! Mkuu uliyesema virusi, mwenzako alimaanisha kirusi lugha wewe ukadhani virus! LOL! Anyway toolbar ni ya kingereza na channel za hizo nchi zipo.
 
Back
Top Bottom