Kwa wale wanaotaka kutumia modem yao kama simu

Hujasema inafanyaje kazi.

aaa taratibu mkuu. ushapewa chakula unauliza kinafanya kazi gani? kile kwanza uone kama kitakupa nguvu au kitakunenepesha. i mean download na install utaona. ni dashboard ila ina features nyingi tofauti na ile ya original inayokuja na software ya tigo. hii haifai kwa modem za ZTE (voda) ila inakubali kwa huawei, (tigo, airtel na etc)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom