Unblocking Web Browser Lock

ruphem2003

Member
May 14, 2011
18
0
Habari wana Jf,kuna software nimeikuta kwenye pc ambayo ime block web browser yeyote kufunguka ili kuweza surf internet,yani huwezi fungua Internet explorer wala firefox wala google chrome,unapotaka fungua hizo browsers ile program ina kwambia "Browser blocked by Browser Lock,if you would like to browse the internet you need to provide the master password" NAOMBA msaada wenu wakuweza ku bypass hiyo browser blocking software(it only blocks internet broswers)
 
Kuna kitu pia kimenisibu, natumia Mozilla FireFox kama browswer nashindwa badili home page....napata ujumbe you can not change your homepage has been blocked...kitu kama hicho...
 
Back
Top Bottom