Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

No one can see whatever you're typing or which website you're surfing No one can see whatever you're typing or which website you're surfing Due to Password pishing and identity fraud going...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wapenzi wa nokia kuna wa2 wengi sana wanazatumia simu zao kwa kupiga,kupokea,kuuma na kupokea msg,kutunza kumbukumbu,na calculator....... Ebu 2jaribu kuzifanya simuzetu a multpupoc device. Am...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhari naomba msaada wa installation ya moodle nimejaribu napata error kibao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kudownload files za internet kwa kutumia programs za tolent coz kila nikijaribu inakataa any one who got an idea plz?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
ndugu zangu mimi ni network na computer technician nimepata kazi nzuri lakini nilikuwa sija certify ili nipate certificate naomba kama kuna mtu anaweza saidia hiyo dunia ndivyo ilivyo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Click on this link to check it out: http://bit.ly/fokIq9
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bibliotastic.com - publish and download free ebooks With the introduction of ebook readers and the ever-increasing numbers of tablet computers, reading reterature has never been easier. This...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wakuu Nimejaribu ku Update Windows 7 ili nipate Windows 7 Sevice Park1 napata Erorr kwenye hiyo Update nimejaribu ku Disable Windows FireWall lakini wapi na nimeulizia kwenye Microsoft help...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niko na idea kidogo sana ya cisco commands na hapa nina router ambayo nataka badili setting zake. Naweza ingia mpk ktk privilage mode bt cwez fanya changes naombeni msaada wenu please.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
natafuta mtu mjuvi wa website design na graphics hapa dar anipe darasa!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Welcome to the Fix it Solution Center Find automated solutions for your issues Select a problem area...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada wana jf kila ninapo update windows ina fail ina nipa error 80244022 natumia windows 7 je nifanyeje ili hii error iondoke?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Got this from eThinkTankTz Copyright infringement lands technician in the dock A TECHNICIAN with Sunrise Computers, Msabaha Salu (26), was on Thursday brought to the Kisutu Resident...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
naomba yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweza ku-install TTPod {application/software ambayo inaweza ku play lyrics za wimbo unapo play miziki ya kizungu kwenye simu} mi natumia nokia 5320...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu? Mimi ni mtaalamu kiasi wa computer, nina min laptop ya samsung n220plus ambayo imekufa display yake, nahitaji kuibadilisha, tafadhali naombeni maelezo yenu maana sijawai badilisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nawapa heshima yenu,wataalam.web camera ya laptop yangu(toshiba pro satelaite l300)natumia window 7 ultimate imegoma kufanya kazi gafla!nitashukuru.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
What Makes a Password Stronger With concern about hackers, tools for remembering so many codes; no more pet names or 123456. For all its benefits, the Internet can be a hassle when it comes...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKUU MAJUZI HAPA TULIISIFIA SANA INTERNET YA VODACOM YA 30 BOMBA COZ SPEED YAKE ILIKUWA NA KASI SIO KIDOGO KIASI KWAMBA NILIDOWNLOAD ZAIDI YA 100GB NDANI YA MWEZI MMOJA...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
naomba yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweza ku-install TTPod {application/software ambayo inaweza ku play lyrics za wimbo unapo play miziki ya kizungu kwenye simu} mi natumia nokia 5320...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…