Natumia Win7 32bit, nimejaribu kuinstall Visual Fortan 6.5 ila inagoma, nimejaribu kuulizia kwa wadau wangu wa karibu hapa naambiwa Fortran haiwezi kutumika kwenye Win7 labda niinstall WinXP. Pia nimejaribu kuinstall Window XP mode (Win7 bado ipo sijaitoa) lakini naona bado inanigomea, nikaona bora nije huku, maana kuna wataalamu zaidi. Naomba kama kuna yeyote anayejua version ya Fortran inaweza kukubali kwenye Win7 asaidie kwenye hili!