Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Desemba 21, 2012: tarehe ya mwisho wa kalenda ya kisasa Long Count umba Maya kale katika Amerika ya Kati. Countless books and websites, magazine articles and newspaper headlines debate its...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habarini wana jf, nina modem yangu aina ni huawei, model- E153u-1, IMEI:352375045146925, naitaji kama kuna mtu mwenye uwezo wa kunipa code ya kuchakachua. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu wote wa JF. Napenda kufahamu endapo kuna uwezekano wa simu ya blackberry kutumika kama external modem. Mwenye kujua tafadhali atujuze ili nasi tupate ujuzi. Thanks!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za kazi wanaJF? Nataka fanya partitioning kwa hard disc ya comp yangu, naomba msaada nafanyaje ili niweze kuwa na for example; hard disc drive "C", "D" and so on....tafadhali naomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
The Apple iPhone rumors go into overdrive this year because Steve Jobs didn't introduce the 2011 model at WWDC and Bloomberg is reporting that the next iPhone (iPhone 5? iPhone 4GS?) will land in...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cooking Oil Used For Plane Fuel By Orlando Parfitt Dutch airline KLM have dreamt up an ingenious way to cut their carbon emissions: they will power their flights with biofuel made from...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimeshindwa ku-activate Bluetooth kwenye laptop yangu ili niweze kuhamisha vitu kama music kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu "and vice-versa". Naomba msaada
0 Reactions
13 Replies
2K Views
salam ndugu zangu naombeni msaada ni chuo gani kizuri kusoma cisco. hapa Tanzania. ndio nataka kuanza kusoma na what are the steps of joining and payments. thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalam wa haya mambo naomba mtujuze,which is better kati ya ipad na playbook.Hii playbook imekuwa launched na blackberry na wanajitangaza kwamba ni bora kuliko ipad.Mnasemaje wataalam...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
LAPTOP YANGU IMEPATA MSHKERI. NIKIIZIMA INAZMIKA VIZURI lakini NIKIIWASHA HAIWAKI MPAKA NIWEKE OS CD NDO INABOOT. HAPO NDUGU WADAU TATIZO NI NINI & NINI UFUMBUZI WAKE
0 Reactions
2 Replies
992 Views
wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kamanda Mwema Polisi na viongozi husika kwa karne hii ya sayasni na teknolojia Polisi jamii sio kuhishia kutoa number za ma RPC tu. Tunataka tupate umber za wakuu wa vituo tulivyo karibu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada wenu jinsi ya ku hack modem ya mtu using Angry IP scanner?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Wandugu poleni na mikikimikiki ya mchana ya kujipatia mkate wa siku.Naombeni mnisaidie ni jinsi gani naweza kununua software mbalimbali kutoka kwenye NOKIA OVI STORE? Tafadhali naombeni msaada wenu.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
asalaam wana jamii. nilikua natafuta nano station device je kuna mtu yeyote anuza?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
WANA JF, HABARI. Ninamiliki modem ya vodafone zte3570. na imichakachuliwa. LAKINI CHA AJABU NI KWAMBA... 1. Nikiweka laini ya mtandao mwingine inawasha taa ya kijani(badala ya blue) 2.Niki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.engadget.com/2011/06/23/nokias-first-windows-phone-images-and-video/ <a href="http://www.engadget.com/2011/06/23/nokias-first-windows-phone-images-and-video/">
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani sikufahamu hii nikajikuta nimegundua bila kujua,inawezekana we unafahamu ila kwangu ni mara ya kwanza kuona,naomba jaribu kwenye computer yako,fungua browser ya google chrome,halafu shift...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalam wa magari naomba kueleweshwa neno hili lina maana gani? USER FULL OPTION. Asanteni sana kwa mchango wenu wa mawazo.
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona. Wamarekani wanakaribia kupitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom