Tatizo la hii dell gx 270 ni nini?mba

Tatizo la hii dell gx 270 ni nini?mba

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
160
Jamani wataalamu naombeni msaada.computer yangu ni nzito sana.ni dell gx 270.hdd 160.ram 1gb.processor 3.0.ila haina ant virus.je inaweza kuwa ni tatizo la kufanya mashine kuwa nzito?pia kwa nini wakati mwingine inazima halafu inawaka bila taarifa?
 
Mkuu ni vizuri ungesema unatumia os gani, windows gani au linux ipi? na kama unatumia windows ni uzembe kutokuwa na antvirus kwa pc yako.
Kwahara haraka kama unatumia windows basically hao watakuwa virus tu ingawa zipo sababu nyingi zinazoweza fanya pc ikawa slow.Tafuta antivirus
Tembelea hapa kwa maelezo zaidi
computer-yangu-nzito
 
Natumia window xp 2006.jamani msaada sina pa kukimbilia kwigine.
 
pia hiyo windows xp 2006 ni original au pirated. Kwa uzoefu wangu nimekutana na watu wengi wanasumbuliwa na operating system lakini baada ya kufanya uchambuzi yakinifu nikagundua wanakuwa na cracked version za xp.

In short cracked version zinakuwa embeded na malicious softwares ambazo zinakusudi maalumu, either kuiba passoword au kufanya mashine yako kuwa zombie so that someone can use it.

Kuna mengi ya kuangalia ili kutatua tatizo lako.

Labda kwa kukusaidi download software ifuatayo then post log yake hapa.

http://www.trendmicro.com/ftp/products/hijackthis/HijackThis.exe

Hope that helps
 
Back
Top Bottom