rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Salaam Wakuu,
Nimekuwa nikitumia dell Latitude laptop lakini naona kama ni bei ghali kuliko dell inspiron.
Je kuna tofauti gani kama mtumiaji wa kawaida?maana wanasema dell latitude ni business laptops na Inspiron ni home laptop,
Natanguliza shukurani,
Rakey