Modem mpya ya Tigo nimechemsha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem mpya ya Tigo nimechemsha!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kimox Kimokole, Jul 11, 2011.

 1. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba msaada wa kuichakachua modem mpya ya tigo, imekubali kubadili dashboard tu ila firmware imegoma katakata hivyo inakataa line nyingine zote isipokuwa ya tigo tu. Waliofanikiwa tafadhali msaada.

  Nimeambatanisha na screen

  modem.jpg
   
 2. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani hakuna mwenye kujua namna ya kuichakachua E153u-1?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  nilisha chakachua hiyo soma link ya hapo juu..ila ni temporary!!!!! kila ukitaka kutumia line nyingine una FATA step zake....do it at your own risk!!
   
Loading...