Nitumie software ipi kutengeneza webpage?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
 
Sasa kama hizo software zinakusumbua je ukiambiwa uchape code kwenye notepad++ ? Mimi sipendi kutumia hizo software maana zitanifanya kuwa lazy
 
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
ROSEMARIE.
Pole sana. Mimi pia natumia hii hii dreamweaver tangu mx version hadi sasa natumia CS5.
Ni program ngumu kidogo lakini ni nzuri sana. Ni rahisi ukifuatana nayo.
Nakushauri kama utaweza tafuta resources mbalimbali kwenye google na ujifunze mwenyewe online. Mimi nimeweza kufanya hivyo na kufanikiwa. Hutapata cms ambayo ni nzuri na ni rahisi kutumia.
 
labda nitapata ki-lesson kidogo hapa kutoka kwako
 
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?

rosmarie dreamwever sio complicated unachotakiwa ku kutafuta video traniing yake kwanza. Kama una bandwidth ya kutosha downlod hii kitu.

Ndani yake nadhani kuna exercise file ambayo ukifuatisha hatua kwa hatua huku na wewe unajaribu basi utakuwa umekuwa begginer mzuri wa Web development na hapo hapo mtaalam wa kutumia dream wever.

Hii ni video ya intro

Pakua training video nzima kwa bei chee hapa http://thepiratebay.org/torrent/6100301/Creating_a_First_Website_With_Dreamweaver_CS5_-_Lynda.com teh teh teh

kujua contents za hiyo video zina nini cheki hapa http://www.lynda.com/Dreamweaver-CS4-tutorials/creating-a-first-web-site-with/52770-2.html ( Hata kama unatumia dreamwever CS5 tofauti si kubwa )

Good luck
 
Last edited by a moderator:
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?

Nakushauri, uwaachie wenye fani hiyo. Sio lazima ujue kila kitu hapa duniani.
Nahofia mwishoe mtaulizia software rahisi ya kutibu wagonjwa wakati udaktari hujasomea.
Tuletee hizo kazi tukufanyieni.
 
Kwa mawazo haya hutaeleimika. Kama % 70 ya watz wakiwa na akili kama yako hatutaweza kwenda kwenye sayari zingine. Fani ya ICT hata wewe unatakiwa kujua. Ndio sababu hata kwenye hiyo fani ya utabibu kuna kitu kinaitwa first aid bwana. Maana yake unaweza jitibu mwenyewe.
 
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Mimi nina kitabu kinaitwa Foundation Website Creation with CSS, XHTML, and JavaScript
Ni kitabu kizuri sana, na kipo kwenye format ya PDF.

Nimejaribu kukiweka hapa lakini naona kinakataa, kama utakitaka nitumie email yako nitakutumia, yangu ni hii hapa chini:

jjosy2000@gmail.com
 
Nakushauri, uwaachie wenye fani hiyo. Sio lazima ujue kila kitu hapa duniani.Nahofia mwishoe mtaulizia software rahisi ya kutibu wagonjwa wakati udaktari hujasomea.Tuletee hizo kazi tukufanyieni.
Aaah mkulu unafurahisha sana, hivi ujui kuwa wabongo hawapendi kuumiza vichwa vyao? Huku kupenda C+P kuna turudisha nyuma sana....
 
Kwa mawazo haya hutaeleimika. Kama % 70 ya watz wakiwa na akili kama yako hatutaweza kwenda kwenye sayari zingine. Fani ya ICT hata wewe unatakiwa kujua. Ndio sababu hata kwenye hiyo fani ya utabibu kuna kitu kinaitwa first aid bwana. Maana yake unaweza jitibu mwenyewe.
Tatizo ni kwamba mwanzisha thread anaonekana hana msingi wa kile anachotaka kufanya, badala ya yeye kutaka kujifunza kuanzia step ya 1 yeye anataka kukimbilia step ya 100 ki2 ambacho hakiwezekani, haya bana jitahidini kumpatia hizo links.
 
Sawa mkuu. Kujua MS word na excel na kutumia computer kila mtu anatakiwa kujua.
Lakini masuala ya Comp. Programming ni taaluma mkuu. Sio kila mtu anaweza.

First aid haina maana ya kujitibu mwenyewe, bali ni huma unayopatiwa kwanza, unatakiwa kwenda hospital kwa matibabu zaidi.
 
Tatizo ni kwamba mwanzisha thread anaonekana hana msingi wa kile anachotaka kufanya, badala ya yeye kutaka kujifunza kuanzia step ya 1 yeye anataka kukimbilia step ya 100 ki2 ambacho hakiwezekani, haya bana jitahidini kumpatia hizo links.
Kwa hiyo ndio unamsaidiaje? kwa kumbeza kama unavyofanya au kwa kumuelekeza? yeye kaleta swali, tunachotakiwa ni kumjibu kwa maelekezo yenye mawazo yaliyo constructive kama unavyofikiri anaweza kusaidika na sio kumbeza.
 
Mimi namshauri muuliza suali aende shule kama atakua hawezi kufuata "internet tutorials" kwani Adobe Dreamweaver ni IDE ya kiume na imeunganisha technology nyingi za web developments so hata akifuata hiyo video, atajikuta bado kuna mambo atataka kufanya bila kuwa na ushauri au uwezo nayo-myself am dreamweaver teacher but si shauri kitu kama hiki kuweza kukisoma kwa minotisi tu ya online-it need clear and live discussion between teacher and student.
 
Tatizo la sisi wabongo ndio hilo. Muache Kaa la Moto aendelee ku post madesa kama yatasaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom