Virus wamenibananisha!!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,374
Nina desktop yangu dell, ninayo kwa muda wa mwaka sasa na haijawahi kunisumbua ila juzi nilimuazima jamaa yangu flash then aliponirudishia niliiiscan na antivirus ninayotumia ya Symantec na ikanionesha imeclear.

Inshort hii comoputer nimegawanya users mbili, moja yangu ambayo ni administrator na ya pili ni ya kawaida ambayo mtu yeyote anaweza kuingia. Nilifanya hivi ili kucontrol mambo ya watu kudelete na kuadd/instal vitu vya kipuuzi puuzi mpaka kwa ruhusa yangu.

Nilipoifungua ile flash, computer ilionekana kama imepokea kitu si cha kawaida then ikajirestart na baada ya hapo administration user account sikuiona tena mpaka sasa ninapoandika hivi ila ukitaka ku-install kitu inakwambia huna permission ya administrator.

Kwa mwenye ufahamu wa kuweza kunisaidia kuipata administraition user account anidondoshee nondo please.

Pia swali jingine, nawezaje kudelete folders na files ambazo hazifutiki sijajua ni kwa nini ila nahisi pia ni virus. Ukifuta inakwambia HDD full au folder/file iko used, so huwezi kufuta.

Naombeni msaada wenu tafadhali.
 
pole sana kaka...nakushauri kama umeifanyia partition na vitu vyako vingi viko hard disk d format hard disk c uliyoiwekea window.....kama hujafanya partition au uliacha vitu vingi kwenye hard disk yenye window daaah kaz kweli kweli maana huyo kirusi anaonekana mkareee
 
Koso ulilofanya ni kuruhusu guests wasiona uzoefu wa kuscan fo virus kutumia kompyuta yako. Ndo wamekuingizia virus most likely cause wewe unaonekena mtu makini, ila kama alivyosema mkuu hapo juu, format an thn kama una data kwenye partition yenye os basi nitafute nikupe softwere ya kurudisha mafail yako. Ila wewe huwa ni mtu mbaya. Hujawahi kuchangia kwenye pst zangu. Natania tu mkuu.
 
Back
Top Bottom