MSAADA KUHUSU UBORA NA UIMARA WA Hyundai Trajet KWA TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA KUHUSU UBORA NA UIMARA WA Hyundai Trajet KWA TZ

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul Kijoka, Jul 9, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wakuu, naomba msaada wenu kuhusu uimara wa hyundai trajet hasa kwa mazingira yetu ya Tanzania.

  01w.jpg

  Iko kama Toyota Gaia, ina abiria 7 ukiongezea na dereva. Nataka kulinunua wakuu.
   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  02.jpg

  Upande mwingine inaonekana hivi.
   
 3. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Uimara wa kitu ni wewe na matumizi yako hapo cha kuangalia ni jee spare zipo?
   
 4. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hilo ni suala la msingi mkuu. Vipi hilo limekaaje mtu wangu? Maana spare ni issue mkuu
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  try to visits spare shops ucheki kama spare zipo na zinapatikana kama zipo vuta kitu maana kimetulia sana.
   
 6. m

  mbojeinc Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu upo fiti mfukoni maana ngoma ina cc2700!!
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii kitu ni 2000 cc, kama ni 2700 cc basi ingekuwa balaa zaidi
   
Loading...