Wazee nimesahau password yangu ya yahoo wakati najaribu kuibadilisha nikajikuta nimesahau secret question moja wapo kati ya mawili, kuna mwenye maujanja mengine nifanyeje
In order to save time on converting files to PDF, the function, batch conversion is developed by converter developers. Spire Free PDF Converter is one good choice to batch convert files (including...
Wakuu juzi kati nilikuwa natoka kupata kilaji nikapata kaajali mitaa ya magomeni kama saa 5 usiku hivi, katika kurupushani ya ajali nikatoka nje ya gari kwa bahati mbaya nikasahau kulock milango...
nimewahi kupotelewa na simu yangu sasa hivi ninatumia sum sung nataka kuweka mobile tracker kuongeza security incase nikipotelewa
lakini haina hii option je hapa unafanyaje anayejua tafadhali msaaada
Wazee nimei flash simu yangu nokia 5310 ktk computer yangu lengo ilikuwa ni kuongeza ufanisi wa ki utendaji wa simu yangu. Mwanzo ilikuwa na v.3 sasa ni v.8 ajabu sasa hivi kila nikijaribu...
Wadau kuna ndugu yangu yuko USA nataka nimtumie pesa aninunulie simu kisha aje nayo mwezi ujao
Sio mtaalamu sana wa mambo ya ebay na hizi simu hivyo naomba mcheck hii simu RIM BLACKBERRY STORM...
wakuu natumia modem ya voda K 3565-Z-ila ni kama wiki nzima sasa na ushee haiwezi kuwa connected zaidi ya dakika 15,yaani ukishaiconnect tu-baada ya robo saa inaji-disconnect yenyewe-nimejaribu...
There are several scenes that catch viewers by surprise in HBOs new documentary film, "Google Baby": The exact moment an Indian surrogate mother sees the child she has held in her body for...
kwa wanavyuo au hata marafiki nunueni baundle kubwa kwa kuchangia then hakuna haja ya kununua moderm mbili kama wote mna tumia windows 7 cha kufanya mmoja wenu anaweza ku unga moderm kwenye...
Dia Membaz,
Kama hauna laini ya Voda basi ukiwa Kigamboni hasa maeneo ya Mjimwema hesabu hauna mawasiliano.
Netiweki inakatika hovyo hovyo tu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nilikuwa natumia Tigo...
bandugu kwa yeyote mwenye serial namba za Internet Download Manager naomba aniwekee hapa jamvini hii kitu nimetuma trial kwa mwezi hakika ina supidi ya hali ya juu sasa siku 30 zimeisha ,tafadhali...
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika...
Wana TEACH
Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S
ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%)
Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error...