Hivi computer zina bit depth tofauti ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi computer zina bit depth tofauti ?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tectoner, Dec 7, 2011.

 1. T

  Tectoner Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me ni music producer nikirender beat au nyimbo kwenye 24 bit depth au 32 bit nyimbo inagoma kuplay...what is wrong ?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sina jibu na si mtaalam lakini swali lako limenisaidia kuelmika japo kiduchu baada ya ku-wikipedia. May be wewe ukisoma hapa utalewa zaidi na kuja kutufafanulia.


  Otheriwise tusibiri ma engeneer wa sauti waje watupe shule zaidi lakini thanks. That was ma knowledge of the day.
   
Loading...