Wataalam wa IT msaada wenu. Niokoeni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa IT msaada wenu. Niokoeni jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Dec 3, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba msaada wenu mim ni fundi ktk fan ya auto electrical(umeme wa magari) pamoja na electronics na elim ya ufund hiyo niliipata veta chang'ombe dar es salaam.

  Nataka niongeze ujuzi zaidi kwa kusoma course ya computer ili niwe na2mia computer ktk ufundi wangu kwani magar na vifaa vya electronics ving sasa hiv matengenezo yake (repair) yanafanywa kwa ku2mia computer.

  Na mim cjasoma kbs mambo ya computer zaidi ya kujifunzia mtaan.Na sina ufaham wowote juu ya koz za computer.
  Nilikuwa naomba kujuzwa/fahamishwa ni koz ipi nikisoma inaweza kunisaidia??

  Naomben sana msaada wenu wakuu kwa hili.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  inabidi ueleze unachokitaka'computer kuna hardware na software
   
 3. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kijana hapo we unahitaji software course so ukajifunze kwanza jinsi ya kutumia computer kama end user then ukajifunze software general halafu hiyo inayokuhusu ndio ukomae nayo
   
 4. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hapo mkuu ni application softwares 2 ndo unazohitaji.czijui ni aina gani za application softwares ambazo zinahitajika kwenye huo ujuzi wako ila nenda kwenye centres zinazofundisha application softwares ukaulizie hizo application softwares au kama unaweza google aina gani za application softwares unazohitaji,then ukishajua tafuta wapi hapa tz zinafundishwa uende ukasome.
   
 5. wa kutambua

  wa kutambua Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jifunze kutumia kompyuta vizuri na baadhi ya software maana ukijua chache zitakupa uwezo wa kila aina ya software
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu mimi ninacho hitaji nikupata elim/ujuzi utakao niwezesha kufanya ufundi kwa ku2mia computer.Mf magari meng sasa hivi ni ya kielectronics so matatizo meng ya utengenezaji wake yanahitaji utumie computer.
  Kwan kunamatatizo sasa hv kweny gari linaweza likagoma kuwaka kbs lkn ukichomeka computer kuna vi2 unafanya na gari inawaka kama kawaida bila kufungua au kubadilisha chochote.
  Nazan hapo mkuu umenielewa ninacho kihitaji.
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  m

  i nikushauri uanze moja! kuijua computer hapo utasoma basic kama ms world etcl... yaani ifike kipindi ujue ctrl+alt+end kazi yake nini... ukitoka stage hiyo then utajua nini cha kufanya mbeleni


   
 8. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  asanteni sana wakuu mmenifungua macho sasa nimepata pakuanzia nawashukuru wote ngoja kuanzia j3 niifanyie kazi nitawajuza ntakapo fikia.Naamin january ntawajuza nimeanza kusoma kipi.
  Asanten sana idum JF lidum jukwaa la tech
   
 9. HT

  HT JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lege,
  uhaitaji kusoma kwa hatua:
  1. Jifunze computer OS. Hapa utajifunza externals za computer boss (OS) jinsi anavyokuwezesha kuongea na hardware na applications. Service anazotoa kama clipboard(cut, copy, paste et al), hardware abstraction (USB, Monitors, serial ports et al). Baada ya kujua basic OS services then unaweza fuata next
  2. Jifunze Office package na internet. Hizi zitakupa idea jinsi OS husika inavyoongea na application na kujifunza basic commands zinavyofanywa ktk app.
  3. Jifunze program husika ya automotive na jinsi inavyofanya kazi na kuongea na vifaa vya gari yako
  4. Urudi na kusema ahsante (utani umekusudiwa hapa!)
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Begin{Ujuzi wa magari}

  Writeln(Google app software)

  End.
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ubarikiwe mkuu

  vip ni mda gani naweza kujifunza yote hayo na gharama zake zimekaaje??

  Asante sana
   
 12. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unatakiwa usome Automove Electronics,apa utajifuza how to repair,repragram and diagnose ECU electronic control units za magari,jinsi ya kudeal na ABS, Automatic break systems,jinsi ya kuprograms air bags.sensors,na kadharika..,nnazo material zake nilisomaga hii course,zamani,pamoja na industrial robotics systems ,nipo kiasi bize unaweza kuni PM .niangalie jinsi ya kukusaidia mkuu
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu nimeku PM.
   
 14. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  sawa ngoja nicheck Pm,check huu mchoro huu alafu sema kama upo poa
   

  Attached Files:

 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  umetisha mkuu mpaka hapo sina swali nazan ugonjwa ushapata tiba.
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kutokana na maelezo yako uliyoyatoa mimi nakushauri ukasome cozi moja ambayo inaitwa Industrial Atomation ambayo inahusika mambo ya automatic machnies, robots nk. Nadhani kozi hiyo itakufaa sana pia itakusaidia kuwa mbunifu. Ukisomea kozi ya computer ya kawaida haitokusaidia kwa sababu zifuatazo:-
  - Kwanza kabisa kuhusu ufundi wa magari kwa kutumia computer, hutotumia computer peke yake. utahitaji kuwa na mitambo mingine ambayo mitambo hiyo hufanya kazi kwa kutumia computer na ili uweze kuoperate mitambo hiyo lazima uwe na ujuzi wa kuitumia. kama ukiwa umesoma kozi ya computer ya kawaida haitokusaidia na badala yake itabidi utafute mtaalamu zaidi ili akufundishe jinsi ya kutumia mitambo hiyo.

  -Pili uksiomea kozi hiyo ya industrial automation itakusaidia pia kuzitengeneza mashine hizo endapo zitaharibika kuliko kwenda kusomea kozi za computer ya kawaida ambapo itakubidi kutafuta fundi wa kutengeneza mashine hizo endapo zitaharibika

  -Tatu kusomea kozi hii pia kutakusaidia wewe kuweza kubuni mashine zako mbali mbali ambazo zitakusaidia katika kazi zako kwa sababu ktk kozi hii huwa wanafundishwa jinsi ya kutengeneza mashine mbali mbali ikiwemo robots

  Vyuo ambavyo vinatoa kozi hiyo ambavyo navifahamu mimi ni kimoja tu na kipo hapa Arusha na kinaendeshwa na wafaransa. Kama ungependa kusomea kozi hii wasiliana nami ili nikuelekeze jinsi ya kjiunga na chuo hicho
   
 17. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kama tayari wewe ni fundi wa magari unachohitaji sasa ni kujua jinsi ya kutumia computer basi!! kwani software ya kufanya diagnosis ya gari kwa computer zipo nyingi ila ukishajua kutumia computer kila kitu kitakuwa poa
   
Loading...