LG GT540 phone kutofanya kazi, msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LG GT540 phone kutofanya kazi, msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Abdulhalim, Dec 6, 2011.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee heshima!

  Sasa ni hiviii, kuna simu LG GT540 imenunuliwa online kama 'unlcked', sasa kwa specs zake, kama zinavoonekana hapa LG GT540 Optimus - Full phone specifications inaonesha kwamba by default it should work with any of the Tanzanian service providers, kupitia GSM 900, etc sasa cha ajabu imegoma aisee. Inaonesha pale kwenye network kuwa kumezuiwa. Sasa kwa wajuvi fungukeni basi ili nieze kutumia haka kasimu.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inawezekana aliekuuzia alikudanganya kwamba sio locked?

  Tafuta wataalamu wa kuchakachua wakuchakachulie.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo kwenye network inaandika nini?

  BTN
  naona hiyo simu inatumia OS yya Android je kwenye simu yao ipo version gani ya android ?
  Umeshafanya trial ngapi za ku unlock maaana sometime option za soft unlock ziko limited zaidi ya hapo itabidi ikafanyiwe Hard unlock na wataama wenye vifaa.

  Bila kujua iko locked kwa Service provider gani ani inaweza kuwa kazi kufanya unclocking kwa codes za online
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kaka simu ni kweli inatumia OS ya Android ila version sijajua inaangaliziwa wapi, ngojea nichek taratibu.

  Hard reset nimefanya Lakini bado imegoma.

  Kwa kifupi hata manual yenyewe imekaa KIHUNIHUNI tu, dah.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Cm ipo unlocked, ilishatestiwa kwa nje ya Tz.
   
Loading...