Msaada wa matengenezo ya modem

Msaada wa matengenezo ya modem

Dotori

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2007
Posts
544
Reaction score
28
Modem yangu ya wireless Internet aina ya Billion 800VGT haiwaki. Mwanzoni nilifikiria ni tatizo la adapter nikabadilisha lakini haikuwaka. Ninahisi ni tatizo ndani ya modem. Wadau wenye kujua mafundi wa vifaa kama hivi katikati ya Mji tuwasiliane kwa PM. Ahsanteni.
 
Nitashukuru kwa ushauri wowote ule
 
Unahitaji mafundi wa electronics. Naamini wapo hapa ndani watakusaidia
 
Back
Top Bottom