Mautundu ya Bwa Mdogo Endrew Kramer.

Mautundu ya Bwa Mdogo Endrew Kramer.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
Kwa wale wadau wa Motion Graphic,Visual EFX na 3D hili jina labda ni geni au si geni kwenu.Huyu dogo ni balaa ktk kuitumia Adobe After Effect.Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia tutorial zake na kulithibitisha hilo.Kwa mnao hitaji tutorial za Adobe After Effect toka kwa Endrew Kramer mni PM.
 
Aisee mie sio mjuzi sana ila nimekuwa nina kaiterest na mambo ya graphics. Napenda kukushukuru na ningependa kusoma mautaaalaam yako hapa bila haja ya kuku PM.

Lakini so far aksante sana nime google jina Endrew Kramer nikutana na tovuti hii ya videocopilot. kweli japo si mtaalam na siwezi kuwa mtaalam mkubwa wa graphics inaonekena "dogo" anatisha. lol na nilikuwa sijui kwenye mambo ya graphics jina hilo....

Sasa unaonaje ukitupatia link tu za hizo tutorial ili sisi wa kigoma tupakue tu
 
vuta subira kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom