msaada wa haraka wataalam tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa haraka wataalam tafadhari

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by white wizard, Dec 7, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  nimehamia sehemu ambayo umeme ni mdogo(voltage) hivyo computer inashindwa kuwaka,nikiiwasha kuna taa nyekundu inawaka kisha inatoa mlio(alarm).ila vifaa vingine kama tv,radio na hata friji vinafanya kazi,ngoma ni pc tu.hivyo nashindwa kufanya shughuri,naombeni msaada.
   
 2. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Tatizo sio umeme Boss! Ram imekaa vibaya au kuna vumbi kwenye slot ya Ram. Do the necessary.
   
 3. R

  RockyII Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  apo ni RAM immekaa ndivyo cvyo co ichek alaf safisha na RAM slot sana tu....
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Hesabu hizo beep alafu utuambie ziko ngapi, na kama inabeep mara tatu basi ni kweli tatizo hapo na ram
   
 5. Isaac Chikoma

  Isaac Chikoma JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jaribu kuazima kifaa kinaitwa ups,kikitatua tatizo lako waweza kukinunua
   
 6. w

  white wizard JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  nashukuruni sana wakuu kumbe Ram ilikuwa imekaa vibaya! Sasa iko poa kabisa kweli JF,hatunyimani maujanja.thanx
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mafundi njaa wanahuzunika sana.JFimewafunika
   
Loading...