Tazama web ya serikali na makosa kibao

Eti we dared, we succeeded, mwandishi puhhhleeeez.

Kweli imerembwa utadhani ukumbi wa harusi.
 
Waziri Mkuu anaiporomoti wakati maandishi yamekosewa imepambwa utadhani ya wanamziki!!

50th Anniversary Independence of Tanzania Mainland

Yaaani
uiona taasi tena ya seriali inaweka tovuti henwani halafu hata link ya feedback haifanyi kazi ujue kwa tovuti ni fasheni tu hawako serious kuwa Tovuti ni media ya communication. Yaani tovuti za taisis za seriali zimekuwa ni fungu la kuchota hela sio kuwezesha kusaidia seikali iwasilieshe na iwasiliane na public.

kama imetengenzwa na wanafunzi wa vyuo tuwapongeze wahusika. Laini kama hapo vimilioni vya walipa kodi vimelipwa tena kwa web isiyo endelevu ya kutumia wiki mbili tu . basi Inaonysha Picha halisi ya IT sysytem zetu hazifuati wala kutengenzwa kwa kufuata kanuni ya System development
 
Tena hapo wamemwajiri mtu anajiita IT mataputapu hawa hawajui HTML wao wamekuta washaandaliwa kwenye dream weaver wanatwanga!!
 
We dared, We succeeded, We are forging Ahead, yaani tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele!!!!! Nasubiri FF aje awasaidie kurekebisha msemo wao.
We are forging ahead!!!!!! Maandalizi ya zima moto haya. Yote haya yaayokana na CDM kubeza maendeleo ya nchi hii hadi kuamua kujisafisha kwa hela ambayo haikuwepo kwenye bajeti kabisa ya serikali!!!!!
CDM punguzeni kuinanga serikali kidogo.
 
Sometimes credibility of those who sanction such projects are put into question, walienda shule gani?
 
Kielelzo tosha cha miaka 50 ya uhuru wetu. Yaani hapo ndio uwezo wao umefikia kikomo. No wonder maendeleo hatuyaoni maana nobody is serious.
 
Yaani tovuti imekaa kama ya mtoto wa shule aliyosubmit kama project yake ili apate alama za kufaulu mtihani. Na wala sitaki kuuliza zimetumika kiasi gani hadi hapo ilipofikia....Ovyoo!
 
Yaani tovuti imekaa kama ya mtoto wa shule aliyosubmit kama project yake ili apate alama za kufaulu mtihani. Na wala sitaki kuuliza zimetumika kiasi gani hadi hapo ilipofikia....Ovyoo!

cheki nyigine hii ya TBC Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Madoido na yamekaa sehemu moja apka inkuwa kero.. hizo slide zinazotembea tebea zote ziko juu. HIvi hwaoni kama ni distraction.

Nenda kwenye link yao ya youtube yao uone vichekesho. Yaani TBC haina hata clip moja ya Audio au video. Yaani Tovuti ya TBC haina tofauti kimauhui na Tovuti ya gazeti kama la mwananchi au Daily news. Cha maana walichoweza kufanayni kweka plugin ya livecast ya tbc taifa na tbc fm. Hilo tu.

Lakini hii yote ama nilivyosea ni kutokanana kudevelop system bila kufutata utaratibu wa computer system development.
 
Kama ndo haujala lazima uanguke chini maana inaleta kizunguzungu!!maimage yavokimbia hatakusoma huwezi utadhani umepakiwa nyuma ya pikup!!!
 
eeeh!!! huyu jamaaa hata kama alitaka tengeneza ili ale hela hapa amefanya mbaya kuliko kwanza amedhalilisha web developer wote na pili huyo aliyekua anasimamia hii kazi.
ndio miaka hamsini ya ufisadi....
 
Noma itabodi wana IT wa bongo tuandamane maana hizi site zinatembelewa na watu wa mataifa mbalimbali haswa wakitaka kujua kitu kuhusu TZ sasa wakiona hizi site total discouragements, anyway ndio mambo ya kupeana na undugu naization
 
Back
Top Bottom