mkuu embu jaribu kuinstall upya na je hiyo pc suite ni ya simu yako au ni ile ambayo ni universal..
kuna kitu kinaitwa nokia connectivity cable driver,nokia nyingi zinasupport version kuanzia saba kuendelea, download ovisuite au version mpya ya hiyo suite.
ni cable anayotumia ndo inayozengua install drivers zake ili kuzipata soma kuna namba mbele ya usb cable kuna kama kidude cheupe zisome then nenda google search driver zake zitakua around 7mb install then done
kuna kitu kinaitwa nokia connectivity cable driver,nokia nyingi zinasupport version kuanzia saba kuendelea, download ovisuite au version mpya ya hiyo suite.
simu yangu haikuja na cd yake ya pc suite so kunasuite niliitoa kwa msela tu ndo natumi...kwenye simu nyingine inapiga mzigo kama kawa, i dont know why me?
hii ya kuweka nokia connectivity driver nimejaribu lakini sikupata tokeo lolote zuri mkari.