Wakuu nimeikopi toka kule Twitter kuna watu walikuwa wanaijadili
Hii hapa!!
Burekingi Nyuzi: Kama unapenda kupiga simu za bure tumia viber, unahitaji 3G enable handset or wifi kwa simu...
wadau naombeni mnisaidie jina au link ambayo naweza pata software ambayo itaniwezesha tumia modem yangu yoyote iwe ya airtel, tigo au voda bila kufaya unlock.nlikuwa nayo ila nimeisahau jina na...
Natamani kuangalia Movies Through Netflix Ila Napata Kikwazo cha Ku install SILVERLIGHT Kila mara naambiwa Installation Failed nikibonyeza info nakutana na hii Message " Message ID: 1622The...
:alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu!
nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada...
Salaam! <br /><br />
Nahitaji msaada wenu wakuu modem yangu ya ttcl inagoma ku connect kila ninapoichomeka inanipa message ''error 777: The connection attempt failed because the modem or...
Kuna post iliwekwa hapa na member mmoja wa JF "Sizinga" ikieleza namna ya kupata Windows XP CD key kutoka kwenye CD yenyewe. Kwa anaye fahamu namna ya kupata key kutoka kwenye CD ya Ms office 2000...
mimi nina server the intel shida yake ni kwamba unapoiwasha itawaka kwa muda wa dakika 5 au mbili halafu inawaka taa ya red ikiwa inamanisha kuna tatizo lakini limejaribu ku clear bios bado tatizo...
najaribu kucheza game ya need for speed run, napata error Dxgi-error-unsupported,nimeshaupdate display drivers,laptop specs zipo juu,ila game ndo halitaki kuplay, msaada please
Habari wadau. Ninampango wa kununua video camera, sasa naomba wadau mnaojua camera nzuri ya bei ndogo na inayotoa kazi nzuri, aina ya camera na ubora wake iwe mpya.
THE government will spend over 300bn/- on laying the national fibre-optic network, the Minister of Communications, Science and Technology, Prof Makame Mbarawa, has said.
The minister said the...
NASA's Kepler space telescope has found two new planets orbiting a distant sun-like star, and the researchers who made the find say these two are the size of Earth or smaller. That's a first in...
Wakuu hivi hali ya hizo fani au sijui nizeme vipaji au urithi wa teknolojia kwa baadhi ya makabila Tanzania upo au unapotea na kuteketea.
Kwenye mkutano wa rais JK na vyaa vya upizani pale...