Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wajameni nisaidieni wajuzi nimingia mkenge au? nimeinunua Blackberry 1800 nikaambiwa original nimetafuta mtandao wa Internet bado unagoma eti nawajibika kulipia 35,000/= kwa mwezi kupitia vodacom...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kupata camera software ya kuniwezesha kupiga picha kwa kutumia camera ya laptop, natumia DELL INSPIRON. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Computer hackers published details of thousands of active Israeli credit cards after breaking into Israeli websites. JERUSALEM: Computer hackers published details of thousands of active...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Jama kwa waliopitia hii game nimeipenda inahitaji control ya ziada kwenda nayo isipokuwa ukifika stage ya 13 ile moter cycle inakuwa inafly hewan technically na haiend mbele vp hapo panahitaj...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti police, wanajeshi wanaonyesha utaalamu wao ( kuvunja matofali kwa kichwa) wakizamani enzi za ROMA. Wakati usA , iran, russia, france, ndo kwanza makombora ya masafa mareeefu na ndege ziczo na...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Cjui mimi mwenyewe ndo naliona hili: WAMAREKANI, IRAN, ISRAEL, RUSSIA Wakuju sana kivita kiasi kwamba wanatumia ndege ziczo na rubani na makombora ya masafa marefu zaidi yenye 'TREMENDOUS IMPACT'...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
simu yangu inashdwa kuplay online kasababu haina adobe flashplayer nitaipaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari yenu members wote wa jamii forums. Ninaomba msaada wenu wa mawazo au kuhusu tablet PC. Mimi na kampuni yangu ya Young Master Supplies and General Enterprises tuna mpango wa kuleta Tablet...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wana jamvi. Naomba msaada wa kuifanyia ujanja modemu yangu ya voda ili nitumie mitandao yote. Pili naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha blog yangu, ni hayo machache nawakilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari zenu... samahani kuna tatizo linanisumbua katika kupost kitu katika blog yangu... iko hivi, nikiwa napost kitu kipya huwa post inafanikiwa kuwa posted ilia kinachonishinda all...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
habari wana jf naomba mnijuze kattika torrent sites hawa seeders ni watu gani na hawa leechers ni watu gani na kwanini mtu ukitaka ku download unatakiwa u download file lenye seeders wengi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jamii, Nataka kujenga nyumba lakini kwa upande mwingine nataka niweke slab kwa juu nijenge chumba kimoja,sebule,choo,study room,2 conopi mbele na nyuma,sasa nataka kujua estimation cost...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari JF? Naomba kufahamu JQuery image plugins.. Just nipatie link mahali ntakapozipata Shukrani
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Wakuu naomba msaada wenu nitumie au nitafute sofwate gani niunganishe simu yangu ya Samsung GT - 15500 na pc kwa kutumia kama modem, kuamisha mafiles, n.k NAWASILISHA!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Kheri ya mwaka mpya, Naomba msaada, jinsi ya kutengeneza forum au discussion group. Ninayo domain ambayo iko hosted na ninailipia ingawa kama kuna sehemu ya bure ambayo naweza kutumia kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda nipate taarifa ktk simu yangu kupitia msg.ili ninapokuwa jf offline kama kuna mtu ka coment katika post yangu basi nipate kujua.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina wazo la kuanzisha kituo kidogo cha kurusha free to air TV katika mkoa fulani, vifaa vya production vingi ninavyo; tatizo nililonalo ni kwenye upande wa transmission; 1. Ni transmitter gani ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hivi kuna way ya kuzuia calls kutoka kwa namba moja tu kwenye simu ya nokia ya torch
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi wadau.. A little bit of help here.. Am about to buy iphone 4 but I would to know if it works here in tz. Cos the last I heard it was nt possible. So please fill me in!
0 Reactions
16 Replies
7K Views
---------------------------------------- Office Professional Plus 2010 Retail Keys ----------------------------------------- Office Professional 2010 76XCJ-YMH2W-YQQV6-XX76X-QK3K7 Office...
1 Reactions
10 Replies
52K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…