Msaada Kwa waliocheza game ya Nuclear bike!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jama kwa waliopitia hii game nimeipenda inahitaji control ya ziada kwenda nayo isipokuwa ukifika stage ya 13 ile moter cycle inakuwa inafly hewan technically na haiend mbele vp hapo panahitaj ujanja gan kwenda mbele zaid?
 
level 13 hauhitaji ujanja wowote mi nimemaliza zote 15, unachotakiwa pale ukifika angalia yale mawe chini ndiyo ramani yako, press mshale wa juu na wakulia at the same tiime ikipanda juu bonyeza mshale unaongalia juu na kulia. BEST LUCKY NADHANI UTARUDI KUOMBA TENA USHAURI UKIFIKA LEVEL 15
 
thanks let me try ma level best i will be back 4 feedback!
 
Back
Top Bottom