Msaada wa mambo mawili.

Msaada wa mambo mawili.

Mangandula

Senior Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
184
Reaction score
38
Heri ya mwaka mpya wana jamvi. Naomba msaada wa kuifanyia ujanja modemu yangu ya voda ili nitumie mitandao yote. Pili naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha blog yangu, ni hayo machache nawakilisha. Anayeweza kunisaidia ani pm.
 
Msaada wangu ni kukushauri uedit title yako, iwe rahisi kwa wenye uelewa kuiona thread yako..
 
Back
Top Bottom