Kwa wenye ujuzi wa matumizi ya blog.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
931
502
wakuu habari zenu... samahani kuna tatizo linanisumbua katika kupost kitu katika blog yangu... iko hivi, nikiwa napost kitu kipya huwa post inafanikiwa kuwa posted ilia kinachonishinda all preveous post zinakua hiden katika page ya kwanza, so naombeni msaada nifanyaje ili post zote ziwe kwenye page moja namaanisha nisitumie kitufe cha older and newer.. kifupi nataka post zote ziwe kwenye page ya kwanza, ASANTEN
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom