Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
Wajameni nisaidieni wajuzi nimingia mkenge au? nimeinunua Blackberry 1800 nikaambiwa original nimetafuta mtandao wa Internet bado unagoma eti nawajibika kulipia 35,000/= kwa mwezi kupitia vodacom
Mimi nimezoea hizi modem zetu za Huawei, za PC au kwenye Laptop sasa nimepata hiki kilongalonga nifungulieni wajuzi au nikiuze ?
Mimi nimezoea hizi modem zetu za Huawei, za PC au kwenye Laptop sasa nimepata hiki kilongalonga nifungulieni wajuzi au nikiuze ?