seeders and leechers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

seeders and leechers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by atrash, Jan 1, 2012.

 1. atrash

  atrash Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  habari wana jf naomba mnijuze kattika torrent sites hawa seeders ni watu gani na hawa leechers ni watu gani na kwanini mtu ukitaka ku download unatakiwa u download file lenye seeders wengi kwanini isiwe kwenye leechers ?
  au ni watu gani ndio wanaruhusiwa ku download kwenye leechers ? au kuna vigezo gani

  nawatakia kila la kweri na mwaka mpya
   
 2. t

  tmg Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  if you're using one of the torrent- downloader software, as a downloader, you're basically a "leecher". after you've downloaded the file, and leave it on, this becomes available for other users to download (thus "sharing" occurs), you are basically a seeder. so normally, having many seeders for a torrent download is good, because you can download the files faster.
  nazani umeelewa mzee..!!
   
 3. HT

  HT JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  leechers - watu wanaodownload vipande vya file toka kwako au watu wengine ambao wameshapakua vipande hivyo

  seeders - watu walio na vipande ambavyo vimepakuliwa tayarina wamevi share unaweza vipakua

  unaweza kuelewa sasa?
   
 4. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Nakubaliana na wewe.
  kwa kuongezea unapo 'download' unapakua toka kwa seeders na leechers wenye vipande ambavyo hauna na
  huwezi kupata file zima kama hamna seeders maana leechers hawana file lililokamilika
   
 5. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  google can't provide what forums do..unaonaje kama huu uzi utakuwa moja ya google results?
   
Loading...