Nataka kujua gharama ya Slab

Karhumanzira

Member
Oct 19, 2011
50
9
Wana Jamii,
Nataka kujenga nyumba lakini kwa upande mwingine nataka niweke slab kwa juu nijenge chumba kimoja,sebule,choo,study room,2 conopi mbele na nyuma,sasa nataka kujua estimation cost
1.Idadi ya nondo
2.Idadi ya mifuko ya cement
3.Idadi ya tipper za mchanga na kokoto
4.Gharama ya mafundi,kuanzia kwenye column na zege kulimwaga
5.Total Grand Price estimation

Asanten
 
Hapo unaitaji nondo sizizopungua 100,mchanga na lori 7 kokoto lori 4 mifuko ya cement isiyopungua 50,piga mahesabu then add 20% ya ziada
 
Mkuu, nakushauri nenda kwa Wataalam ukiwa na ramanii yako mkononii watakupa makadirio ya karibu kabisa!
 
...what are the dimensions of your slab i.e. length x width x thickness na hiyo slab itabeba nini? normal house?
 
Just pm me ntakusaidia bure kwa ushauri tu pamoja na schedule of materials
 
Wana Jamii,
Nataka kujenga nyumba lakini kwa upande mwingine nataka niweke slab kwa juu nijenge chumba kimoja,sebule,choo,study room,2 conopi mbele na nyuma,sasa nataka kujua estimation cost
1.Idadi ya nondo
2.Idadi ya mifuko ya cement
3.Idadi ya tipper za mchanga na kokoto
4.Gharama ya mafundi,kuanzia kwenye column na zege kulimwaga
5.Total Grand Price estimation

Asanten

kwa hayo maswali unahitaji watu wawili
1. Structural engineer
2. Quantity surveyor

na CASH
 
Back
Top Bottom