masaa ya JF

masaa ya JF

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
wataalamju naomba kujua haya masaa yanayotumiwa na jamii forum ni yawapi. Au LAPTONGA yangu kimeo. mfano sa hizi ni saa 1549 jJF ni 0234. Hii imekaje jamani
 
masaa yanatumika hapa ni ya Time zone +3. kwani wewe uko wapi?
 
Ahh Young -Master ilo nalo ni tatizo kwako au JF sio Bong 2, ni mpaka mtoni. Jamani mi mwenzenu ni mgeni kidogo hm jamvini tuambiane. Kama kweli mji kasolo bahri ni tatizo kwako.
 
Back
Top Bottom