Wataalam naomba msaada wenu.

Wataalam naomba msaada wenu.

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Wataalam naomba kujuzwa kama kuna lens(jicho) la deck za cd,dvd ambayo ni universal (malaya) ukiifunga kwenye deck inasoma cd zote bila kuchagua.Kwani kuna lens zingine zinachagua baadh ya cd.
Lkn niliwahi sikia kuwa kuna lens za kichina ukiifunga kwenye deck yako inapiga kazi bilakuchagua cd yoyote. Iwe vcd,dvd,audio cd,mp3,4 n.k yenyewe inapiga mzigo kama kawa.Je ni kweli na kama YES bongo zinapatikana wapi??
 
Kuweza kucheza aina tofauti za Disk hakutegemei "lenzi"(actually lazer) peke yake, decki inabidi iwe na uwezo wa kudecode format hiyo, kwa mfano kuprocess data ya Audio CD ni tofauti na kuprocess Data ya DVD/MP3 etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom