vyote mkuu.ShukraniNgoja mkuu nipo safarini nikifika tu ntakupa tip, ila haujasema ni kipi kilichokushinda kati ya kujailbreak au kuUnlock au vyote kwa pamoja? Maana unlock ya ios5 ipo ni ultrasn0w 1.2.4 na Jailbreak mara ya mwisho nimeangalia ipo limited to tethered boot ,,,,