Msaada kwenye tuta

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakuu wa technology naomba msaada nina laptop aina ya dell inspiron ni mpya kabisa lakini problem yake ni kwamba kila ukifungua net inarespond for just a minute halafu inakat mawasiliana hata kama signal iko juu nimejitahidi ku-troubleshoot na inasema hakuna tatizo lolote na nikijaribu the same modem kwenye pc nyingine inafanya kazi vizuri tena with high speed what can I do to solve this problem.
Ineed help please any dody help me.
 
Wakuu wa technology naomba msaada nina laptop aina ya dell inspiron ni mpya kabisa lakini problem yake ni kwamba kila ukifungua net inarespond for just a minute halafu inakat mawasiliana hata kama signal iko juu nimejitahidi ku-troubleshoot na inasema hakuna tatizo lolote na nikijaribu the same modem kwenye pc nyingine inafanya kazi vizuri tena with high speed what can I do to solve this problem. Ineed help please any dody help me.
Maelekezo kidogo mkuu. Inakata kwa modem ku-disconnect sio, umeshajaribu modem tofauti na hiyo au kwa kutumia ethernet cable au wireless? unaweza kwenda cafe ya jirani ukaomba kutumia laptop yako uone itakuwa vp.
 
mkuu sio kwamba modem inadiconnect no! swala ni kwamba browser inadiplay mfano server not found (kwa firefox), the page cannot be displayed (kwa windows explorer) at the same time modem inakuwa bado inaonesha kwamba iko connected na signal iko juu. kuhusu kujaribu ethernet cable bado ninatumia modem tuuu!
 
Ok. Fungua firefox nenda tools >> options >> network >> settings >> angalia ipi imechaguliwa

Internet Explorer:
Tools>> Internet Options>> Connections>> Chagua modem then click Settings
Chagua/check Automatically detect settings, kwingine kote uncheck >> Click Ok >> Ok
Funga browser, connect modem jaribu tupe results
 
mkuu thanks a lot you have done well.
ubarikiwe saaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Back
Top Bottom