Nokia 2700 Imetengenezwa India 2009 imegoma kudownload. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia 2700 Imetengenezwa India 2009 imegoma kudownload.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Suip, Jan 7, 2012.

 1. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Wana Jf simu yangu ya Nokia 2700 browser yake ni kupitia Opera Mini tangu juzi imegoma kufunguka. Kwenye Menu ya simu, sehemu ya Web ukishusha hadi kwenye Browser uki-select haifunguki. Anayefahamu humu Jf naomba anisaidie jinsi ya kutatua tatizo.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  i reset irudi upya..
   
 3. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Una reset vipi nisaidie?
   
Loading...