HIV DETECTER:Wanasayansi umizeni vichwa mtuokoe!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV DETECTER:Wanasayansi umizeni vichwa mtuokoe!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Jan 6, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wana wa JF mambo vipi? Natumai mko poa.
  Nimekaa nikatafakari sana ni jinsi gani tutakavyopunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi au waathirika wa janga hili na hapo ndipo liliponijia hili.Hivi wanasayansi hawawezi kutengeneza kifaa kinachoweza kubaini mwili wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi? Kifaa chenyewe kiwe kidogo kama kalamu kinapokuwa jirani kabisa na kilipo kirusi kinacho sababisha ukimwi kiwe kinawasha taa nyekundu au kinapiga alamu ya kuashiria hatari.Pia kifaa hiki kiwe na uwezo wa kutumiwa na watu wa jinsia zote mbili yaani wanawake na wanaume na hata kwa wale wanaopenda sana mechi wanapofika tu chumbani kila mmoja anawasha kimtambo chake ili kutambua afya ya mwenzake kabla ya kuanza kwa mechi.Natumai kwa njia hii maambukizi yatapungua kwa asilimia kubwa sana.
   
Loading...