msaada jaman!

msaada jaman!

Decapitator

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
311
Reaction score
79
Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile!
na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf!
ndio nimeingia jf hv karibuni
 
KXY thanx,
Na jee unawekeje na hiyo mesage ya kiharakati.
Mfano TUKUTUKU kaandika (A friend in need is a friend indeed)
Natanguliza shukrani wana JF.
 
Hiyo ni signature, palepale tafuta Edit signature utaiona
 
Back
Top Bottom