Msaada: T-mobile htc hd2 unlocking code

Msaada: T-mobile htc hd2 unlocking code

BobKinguti

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
228
Reaction score
87
Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa ku-unlock T-Mobile HTC HD2. Nimeipata hii simu from us, ilishatumika lakini sifahamu last user alitumia service provider gani.

Nimetembelea google, zipo site kadhaa that claims they can unlock, lakini utaratibu wa kulipa online ni kikwazo kwangu(sina hii huduma).

Natanguliza shukrani.
 
Nitakusaidia kwa kufungua HTC HD2, Unaweza kupata kanuni kufungua kutoka Classicunlocking.com na kufungua ni kutoka lock Network Unaweza ..... tu tu kulipa kiasi kwa njia ya PayPal.
 
Back
Top Bottom